Showing posts with label WE LOVE MUSIC. Show all posts
Showing posts with label WE LOVE MUSIC. Show all posts

14 November, 2016

Nikki wa Pili: 'MTV EMA Kukosea Tuzo ya Alikiba na Kumpa Wizkid ni Kokosa Umakini'

Nikki wa Pili amesema kosa lililofanywa na MTV EMA, kumtangaza mshindi wa Best Africa Act Wizkid na kisha kuja kumpa Alikiba aliyepata kura nyingi, ni la kibinadamu na kwamba wanapaswa kuwa makini tu. “Mi naona walikosa umakini, lakini kukosea ni kitu cha kawaida, as long as waligundua wamekosea na wakafanya kitu sahihi sio kama kuna tatizo,” Nikki alimwambia mtangazaji wa kipindi cha The Vibe cha Mashujaa FM ya Lindi, Baby Dinny. Nikki amedai kuwa kosa walilolifanya limeonesha kuwa wao ambao wanatazamiwa kuwa na umakini wa hali ya juu nao hukosea. Kurudishwa kwa tuzo hiyo kwa Alikiba kulipokelewa kwa furaha kubwa japo mambo yaligeuka kuwa mabaya baada ya watu kuanza kumtukana Wizkid. Hali hiyo ilimlazimu Alikiba kuwaomba watu wasiendelee kufanya hivyo na kudai kuwa mashabiki wake hawawezi kufanya hivyo.

A Tribe Called Quest Pay Tribute To Phife Dawg On SNL

Alongside host Dave Chappelle, A Tribe Called Quest served as musical guest on the latest episode of Saturday Night Love. The surviving members of the seminal hip-hop group hit the stage for a rare live performance behind their first album in nearly two decades, We Got It from Here… Thank You 4 Your Service. "We are all one. We are the people," Q-Tip announced before he and Jarobi White launched into "We The People…," an acidic new track from their sixth studio album, while Ali Shaheed Muhammad held down the 1s and 2s. Midway through the track, Phife's verse was announced with a flag unfurled onstage adorned with his face, which Q-Tip and Jarobi started rapping to for the rest of the song. For their second performance, Tribe performed "The Space Program," the opening track from their new album. On the final coda of the track, Busta Rhymes and Consequence, who contribute throughout the new LP, joined Tip and the gang on stage, closing things off with a group hug.